1;Timing belt inatakiwa ubadilishe kila baada ya km 100,000.
2;Gear box oil inategemea ni gear box ya automatic au Manual,kama ni automatic badilisha kila unapobadilisha Engine oil 3000km to 5000km na kama ni manual utakuwa unaongezea tu kama imepungua hata mwaka poa tu na Difu vile vile
Kuna magari hayana cock ya kumwaga hiyo transmission fluid (mfano- toyota mark x) mafundi wanadai utumie tu maana transmission iliyowekwa japan ni orijino, inakuwaje hapa? Oil hii inamwagwa vipi kwenye magari ya namna hiyo? Hata stick ya kupima huwa haipo kabisaKuna rafiki yangu alidanganywa na fundi wake kuwa hiyo gear box oil haitakiwai kubadilishwa,alikaa nayo mpaka ilipokaribia kufikisha km 10,000 gari ikawa na shida ya kubadilisha gear,tatizo hili lilimsumbua sana mpaka akaamua kuuza gari yake.Na ni kweli kila fundi ana maelekezo yake kuhusiana na hii oil,tunahitaji mtaalamu/fundi aliye bobea atufafanulie hil kitaalamu zaidii wadau.
Ni sawa kabisa unapoweka oil ambayo sio iliondikwa kwenye stick performance yake inakuwa sio nzuri.Kosa kubwa ni uelewa mdogo. Kila gari ina specification zake za gear box oil, ukikosea kuweka oil unaua gear box, kwa mfano automatic (atf) ziko nyingi cha msingi usome stic ya gear box imeandikwa no gani. Pili huwa haibadilishwi hovyo huyo anayekuambia kubadilisha kila baada ya service hayuko sahihi kabisa. Soma driver manual ya gari itakupa maelezo sahihi, pili unaweza ku google kwa kutumia model no ya gari itakupa majibu