Kubadili toka Savings account kwenda business account

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,804
Reaction score
10,715
Wakuu hebu nitoeni tongo tongo kama hilo lawezekana.
 
Nina akaunti ya akiba (savings) ambayo ningependa niibadili iwe ya biashara kwa ajili ya ku-maintain transactions zilizopita kuonyesha mzunguko wa fedha. Je hilo lawezekana? Asanteni wadau.
 
Hizo ni account mbili tofauti kwa hiyo kafungue account ya biashara
 
Mkuu Nyenyere inategemea upo bank gani, Kama ni CRDB inawezekana, na bank nyingi tu wanabadilisha bila shida
Kuna Accounts za aina mbili Saving na Current(business)account
Tofauti yake ni kwamba Saving hautumii Cheque book kama unavyotumia kwenye Current account
Pia mara nyingi Current account ni za makampuni nk, kifupi ni za kikazi na biashara

Inawezekana unataka account yako ionekane ya siku nyingi hivyo ukifungua mpya itashindwa kuonyesha flows ya account yako, chakufanya nenda bank husika uwaeleze na wataibadilisha kwa wewe kujaza form maalum na kuandika barua then watakubadilishia na watakutengenezea cheque book yako
NB
Monthly charges itakuwa kuanzia sh elf10 hadi elf20 kulingana na bank yako badala ya buku la saving acc
 

As ante sana mkuu paulss.Akaunti Yang iko CRDB Bank.
 
Last edited by a moderator:

As ante sana mkuu paulss.Akaunti Yang iko CRDB Bank.
 
Last edited by a moderator:
As ante sana mkuu paulss.Akaunti Yang iko CRDB Bank.

usisahau kwenda za docs za biashara yako kama vile brela, leseni ya biashara n.k kutegemea na biashara yako. Vinginevyo hawatakubadilishia
 
usisahau kwenda za docs za biashara yako kama vile brela, leseni ya biashara n.k kutegemea na biashara yako. Vinginevyo hawatakubadilishia

Mkuu wangu hapa unachanganya madawa
Current account inaweza kuwa ya mtu binafsi(haihitaji hizo doc), kampuni(inahitaji hizo doc),ya kanisa(inahitaji usajili) nk

Kwakuwa yake ni personal anahitajika kuandika barua tu na form kadhaa then it done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…