J Just a person JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 984 Reaction score 1,232 Sep 9, 2022 #1 Habari wakuu, Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work. Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
Habari wakuu, Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work. Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.