Wakati USA na washirika wake wakiwa bize na kuhangaika na vita za Gaza na Ukraine, China inaendelea kupanua wigo wa kibiashara na kidiplomasia kupitia mpango wake aliouanzisha wa BRI (belt and road initiative).
Mpango ambao unahusu kushirikiana na mataifa mengine katika ujenzi wa aina zote za miundombinu na kushirikiana kiteknolojia ya habari na mawasiliano na kufadhili mikopo kuendesha miradi ya mataifa washirika.
Mataifa takriban 110+ yameshaungana na huu mpango na zaidi ya mataifa 30 yamekiri kunufaika na huu mpango ikiwemo Saudi Arabia, UAE na Bosnia and Hezergovina.