Kubadilisha brake lining na kutumia Disc

Kubadilisha brake lining na kutumia Disc

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
558
Reaction score
179
Nina gari Toyota pick up vigo (2005). Natamani kubadilisha brake za nyuma zitumie disc badala ya brake lining zilizopo Nifanyeje wapendwa?

Naomba nishaurini tafadhali kama inawezekana
 
Back
Top Bottom