wakuu naomba kuuliza eti unaruhusiwa kubadilisha course hapo DIT manake nimechaguliwa course ambayo sina mpango nayo.
inawezekanaa! Umepangiwa kozi gan kwa msaada zaidi
nimepangiwa mining ninataka electrical and biomedical
dogo hyohyo mining ya ukwel
nzur! Vp kuhucu civil engener naona kama imetulia, ila hta hyo yako unayoitaka nzuri
Mwisho wa siku fanya kitu roho inapenda ila mining siyo mbaya...civil sio mbaya, etc etc...inategemea wewe umeimamia wapi
Dogo mimi nimesoma Mining DIT na kila miaka inavyosogea hali inakuwa nzuri and am proud of it due to the place I am now ila fanya kitu roho yako inapenda ili usije kumlaumu mtu
mbeleni
yalaaaa unachezea saraf kwnye tndu la #CHOO ? utajuta wewee wat wanalilila we unanunia sa iache utajuta kxma wewee,waloxma mning wanahsbka #tanzania coz ynyew ya juz hyo and inahtaj wat xo uktoka na hyo we #bataaaaaa
dogo make a wise choice....piga mining