Kubadilisha engine.

Kubadilisha engine.

Tyetyetye

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
1,142
Reaction score
940
Nataka kubadili engine ya gari kutoka cc 2000 niweke engine ya cc 1500 automatic je inawezekana?
 
Mkuu,inategemea na uzito wa gari,unaweza kuweka engine ndogo kwenye body kubwa bado ishu ya mafuta ikawa pale pale,mnapoomba ushauri jaribun kueleza kwa kina ili tujue tunaanzia wapi kushauri,gari yako ni aina gani? tuanzie hapa kwanza
 
Mambo mengine[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa mtu ana stout anataka kufunga engen ya passo mbona hakuna uwiano
 
Back
Top Bottom