T Tyetyetye JF-Expert Member Joined Dec 3, 2014 Posts 1,142 Reaction score 940 Jan 24, 2017 #1 Nataka kubadili engine ya gari kutoka cc 2000 niweke engine ya cc 1500 automatic je inawezekana?
M mabwiku JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 447 Reaction score 390 Jan 24, 2017 #2 Mkuu,inategemea na uzito wa gari,unaweza kuweka engine ndogo kwenye body kubwa bado ishu ya mafuta ikawa pale pale,mnapoomba ushauri jaribun kueleza kwa kina ili tujue tunaanzia wapi kushauri,gari yako ni aina gani? tuanzie hapa kwanza
Mkuu,inategemea na uzito wa gari,unaweza kuweka engine ndogo kwenye body kubwa bado ishu ya mafuta ikawa pale pale,mnapoomba ushauri jaribun kueleza kwa kina ili tujue tunaanzia wapi kushauri,gari yako ni aina gani? tuanzie hapa kwanza
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,336 Reaction score 5,217 Jan 24, 2017 #3 Mambo mengine[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa mtu ana stout anataka kufunga engen ya passo mbona hakuna uwiano
Mambo mengine[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa mtu ana stout anataka kufunga engen ya passo mbona hakuna uwiano