Kubadilisha Gongo Kutoka Haramu kuwa Halali

Yote haya ni katika kumtetea PADRI GONGO. Kweli yule mzee aliyemloga keshakufa, kutoka kulisha kondoo wa bwana mpaka kuhamasisha watu kunywa gongo?


You are in a wrong place bandugu. We dont discuss people here, we discuss ideas here peleka akili ndogo kwenye siasa huko sawa.
 
Hii idea ya kuhalalisha GONGO ni nzuri sana. Ni win win situation for both sides, kwa Serikali na mpika gongo au mwananchi. Moja Serikali itakuwa inajuwa nani anapiga hiyo pombe, pia wakatengeneza mfumo mzuri wa ulipaji kodi kwa wapishi wa GONGO, Watauza vifaa vya kupikia kupitia SIDO kama bado iko uchini ya serikali, Itatoa ajira iliyo halali kwa wananchi, mwisho afya za wananchi hazitakuwa kwenye mazingira hatarishi kama ilivyo sasa sababu mazingira ya upishi wa GONGO na viwango vya kilevi kwenye ni hatarishi.

No matter what you do watu watapika na kunywa GONGO sasa kwanini usiitengenezee mazingira mazuri ya kuweza kutoa ajira, kupatia watu kipato, na kuokoa maisha ya watu wa chini.

Kwa upande wa muuzaji atakuwa huru si wakujificha ficha tena, soko la ndizi na matunda mengine litaongezeka, sababu sasa kiasi kikubwa cha matunda kinaharibika kabla ya kumfikia mlaji wakakati hayo matunda yaliyo kiwango cha chini kwenye ulaji yangeweza kutengeneza GONGO na kumpatia mkulima fedha ya nyongeza. Watu watajikimu kwenye maisha na pia kupunguza rushwa kwa polisi wanaoenda kuwasumbua wapika GONGO mitaani.

Halafu mwisho tuwe makini kwenye uchambuzi wa vitu, Kina vingapi halamu humu duniani na bado vinatumika kwa binaadamu. Kwenye dini pombe yeyote ni haramu na watu wanakunywa, kwenye nyingine Nguruwe ni halamu na watu wanakula, kuna sehemu nyinngine watu wanakula mpaka Mbwa, Chura na wewe kwako inaweza kuwa haramu. Acheni akili za kushikiwa,
 
Kaangalie Discovery channel. Kuna documentary inaitwa "Moonshiners". Utapata majibu yote
Gongo haramu!

Mkuu tuwe makini kwenye mitazamo yetu siyo kubeba kila kitu kilicho kwenye TV ukatuletea hapa. Kuna vitu vingi vya kujiuliza kabla ya kubeba mitazamo ya watu na ikachukua nafasi kwenye ubongo wako. Who create this documentary, why he/she create this? when? where? what is the purpose of a documentary? Who supported the documentary? Hivyo vyote wanaweza kuwa na interest kwenye hiyo documentary.

Do not believe everything you have been told, do you are own qualitative research?
 

Baada ya kuhalalisha gongo then mtasema bangi nayo ihalalishwe na eventually mtaendelea kuhalalisha yaliyo haramu na mtafika pabaya
 
Baada ya kuhalalisha gongo then mtasema bangi nayo ihalalishwe na eventually mtaendelea kuhalalisha yaliyo haramu na mtafika pabaya

Mkuu unachotakiwa ni ku-discuss Gongo idea ni si vingine. Kama unaona ni haramu sema sababu kwa nini ni haramu siyo kupiga maneno ya taarab ndugu.

Gongo ina tofauti gani na Konyagi, Gordons, Bombay sapphire au
beefeater?
Ndugu yangu usiwe na mawazo ya kushikiwa. Nchi hii ipo hapa leo kutokana kuwa na vijana wengi wenye mawazo kama yako ambao mmekubali kushikiwa fikra/mawazo na historia, kila kitu duniani is debatable, wewe sema kwa nini Gongo ni haramu simple. We dont discuss bangi hapa, hapa tunadiscuss Gongo.

But remember this
: if everyone is thinking alike, then somebody isn't thinking
 
Baada ya kuhalalisha gongo then mtasema bangi nayo ihalalishwe na eventually mtaendelea kuhalalisha yaliyo haramu na mtafika pabaya


Nimekuletea hii nimeipata kwenye uzi mtu kaposti ili uelimike kidogo, kama hujaelewa usisite nikulainishie maneno.

======================================================================================================


MAANA HALISI YA GONGO...

Pamoja na impurities zingine zinazotakiwa kuondolewa, GONGO ni mixture(mchanganyiko) wa Ethanol na Methanol.

CHEMICAL FORMULA:

CH3OH + C2H6O = GONGO
methanol ethanol

Ambacho ni hatari kwenye mwili wa mwanadamu(sumu) ni METHANOL ambayo huuwa mapafu na mara nyingine kupofua macho.

GONGO ILIYOTENGENEZWA KIENYEJI

Wengi wanaotengeneza gongo hizi za mitaani hawana utaalamu wa kutenganisha ETHANOL na METHANOL hivyo mtumiaji kutumia kilevi hiki kikiwa na mchanganyiko wa pombe na sumu yaani METHANOL

TUTATENGANISHAJE METHANOL NA ETHANOL

Hebu angalia properties za METHANOL na ETHANOL


METHANOL:
Melting point: -97.6 °C
Molar mass: 32.04 g/mol
Density: 791.80 kg/m³
Boiling point: 64.7 °C
Formula: CH4O
Vapor pressure: 13.02 kPa
Classification: Alcohol



ETHANOL:
Formula: C2H6O
Density: 789.00 kg/m³
Boiling point: 78.37 °C
Melting point: -114 °C
Molar mass: 46.06844 g/mol
IUPAC ID: ethanol
Classification: Alcohol


KITAALAMU

METHANOL na ETHANOL hutenganishwa kwa kutumia tofauti ya BOILLING POINTS zao

Biollingi point of Methanol= 64.7 °C

Boilling point of Ethanol=78.37 °C


Hivyo Methanol itaanza kutoka na Ethanol itabaki kama pombe halisi( pure alcohol) ambayo ni salama kwa matumizi


Nafikiri ni ufinyu tu wa kufikiri na sishangai sana maana hapa taifa ndipo lilipotufikisha, hatuna uwezo wa kuhoji wa kutafakari mambo kwa undani..

........haikupaswa kuzuia wauza gongo maana ndipo wanapopata hela kwa ajili ya kuendeleza familia zao zaidi ichukue hatua namna ya kuboresha utengenezwaji wa pombe hizi ili zisilete athari kwa watumiaji...


TUFIKIRI MARA NYINGI KWA KUTUMIA AKILI NA SI VINGINEVYO LA SIVYO TAIFA LITAENDELEA KUDUMAA NA HAKUNA JIPYA LITAKALOFANIKIWA TANZANIA.
===================================================================================
 
Hivi kwani Gongo ina SUMU, hebu aje mtaalamu hapa aongee kitaalam nielimike! Tofauti na hapo zitakuwa ni siasa zisizo na mantiki, hata Bangi sijaona madhara ya kuizidi tumbaku!

Angalia hii kutoka kwa Rose Mayemba

MAANA HALISI YA GONGO...

Pamoja na impurities zingine zinazotakiwa kuondolewa, GONGO ni mixture(mchanganyiko) wa Ethanol na Methanol.

CHEMICAL FORMULA:

CH3OH + C2H6O = GONGO
methanol ethanol

Ambacho ni hatari kwenye mwili wa mwanadamu(sumu) ni METHANOL ambayo huuwa mapafu na mara nyingine kupofua macho.

GONGO ILIYOTENGENEZWA KIENYEJI

Wengi wanaotengeneza gongo hizi za mitaani hawana utaalamu wa kutenganisha ETHANOL na METHANOL hivyo mtumiaji kutumia kilevi hiki kikiwa na mchanganyiko wa pombe na sumu yaani METHANOL

TUTATENGANISHAJE METHANOL NA ETHANOL

Hebu angalia properties za METHANOL na ETHANOL





METHANOL:





Melting point: -97.6 °C



Molar mass: 32.04 g/mol



Density: 791.80 kg/m³




Boiling point: 64.7 °C




Formula: CH4O




Vapor pressure: 13.02 kPa




Classification: Alcohol



ETHANOL:






Formula: C2H6O



Density: 789.00 kg/m³



Boiling point: 78.37 °C




Melting point: -114 °C



Molar mass: 46.06844 g/mol



IUPAC ID: ethanol



Classification: Alcohol


KITAALAMU

METHANOL na ETHANOL hutenganishwa kwa kutumia tofauti ya BOILLING POINTS zao

Biollingi point of Methanol= 64.7 °C

Boilling point of Ethanol=78.37 °C





Hivyo Methanol itaanza kutoka na Ethanol itabaki kama pombe halisi( pure alcohol) ambayo ni salama kwa matumizi


NAWASHANGAA WANAOBEZA MAONI YA DR SLAA..Nafikiri umeelewa vyema
 

Asante sane mkuu, HAKIKA NAKUSHUKURU MNO, haya ndiyo majibu yanayotakiwa, na ndiyo hasaa elimu kama hi inatakiwa itolewe kwa watengenezaji na wanywaji wa Gongo (Hata Mimi nilishawahi kuionja, ni kali sana lakini haifikii ukali wa TEQUILA; Kitu unatafuna limao na chumvi ndiyo unatupia shot la sivyo inaondoka na koromeo lote). Kama kuondoa sumu kwenye gongo ni rahisi kiasi hicho basi hii kitu itolewe elimu na watu waruhusiwe (NIMESHAPATA IDEA NYINGINE****:lock1🙂...Asante Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…