Kubadilisha hati ya kiwanja ya kijiji/ kitongoji kuwa legal doccument

Kubadilisha hati ya kiwanja ya kijiji/ kitongoji kuwa legal doccument

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
274
Habari wataalam,

Kuna sehemu nimeomba mkopo ila katika kipengele cha dhamana (Collateral) nina hati ya kiwanja kupitia serikali ya kijiji, wahusika wamenambia ili waikubali niipeleke kwa mwanasheria ili iwe legal doccument.

Sasa nnachotaka kujua hii hati yangu nikiipeleka kwa mwanasheria ataigonga mhuri na saini yake ndani ya hati yangu au atatengeneza doccument nyengine? Maana naona kuandika andika katika hii hati kama itakua kupoteza originality ya hii hati.

Ahsante
 
Back
Top Bottom