WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 58
Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless ingefanyika while she was in f2.
Sasa anahitaji NIDA na akitumia BC ina maana kitatofautiana na academic certificate zake. Ushauri tafaaadhali wa Je anaweza kutumia Deed Poll kupata NIDA?
Au nini kifanyike ili isijemsumbua huko mbeleni kwani anataka kuomba kusoma vyuo vya kati recently.