WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 58
Atumie affidavit of birth ambacho kitasoma majina mapya asitumie birth certificate ambayo ndio yataingizwa nidaHabarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless ingefanyika while she was in f2.
Sasa anahitaji NIDA na akitumia BC ina maana kitatofautiana na academic certificate zake. Ushauri tafaaadhali wa Je anaweza kutumia Deed Poll kupata NIDA?
Au nini kifanyike ili isijemsumbua huko mbeleni kwani anataka kuomba kusoma vyuo vya kati recently.
Thanks kwa ushauriAtumie affidavit of birth ambacho kitasoma majina mapya asitumie birth certificate ambayo ndio yataingizwa nida
Asante mkuu nimekusomaAtumie affidavit of birth ambacho kitasoma majina mapya asitumie birth certificate ambayo ndio yataingizwa nida
Hii njia itamfany atumie affidavit mpk kaburini maan ukiombwa BC n academic certificate utaambatanisha affidavit original n hairud wengi awapokei copy so instead ya kuwa unalip 15k kila ukiomb BC kabadili tu BC for 3500 kuokoa 15k kila uombwapo vyeti vyakoAtumie affidavit of birth ambacho kitasoma majina mapya asitumie birth certificate ambayo ndio yataingizwa nida
Ok , hii nayo yakuzingatia ,noted mkuuHii njia itamfany atumie affidavit mpk kaburini maan ukiombwa BC n academic certificate utaambatanisha affidavit original n hairud wengi awapokei copy so instead ya kuwa unalip 15k kila ukiomb BC kabadili tu BC for 3500 kuokoa 15k kila uombwapo vyeti vyako