kubadilisha jina la kampuni

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari zenu wakuu. Nataka kuanzisha kampuni, niliona thread inayoeleza taratibu za kufata, lakini mie kidogo nna maswali mawili matatu ivi.... Kuna kampuni tayari ipo, ishasajiliwa na ina business plan na memorandum yake. Sasa mimi nataka kuichukua hio kampuni (ni ya mzee) nibadilishe jina niweke jina nnalotaka mimi, pia kubadilisha au tuseme kutransfer shares zake na kuzichukua mimi (ni private company) sasa mi nlitaka kujua, business plan na memorandum yake itabidi iandikwe upya mwanzo mwisho kwa jina nnalotaka mie, au naweza kutumia izo izo bila kuandikwa upya lakini kukawa na vielelezo vyenye kuonesha jina limebadilika na shares ownership pia zimebadilika? Na kama iandikwe tena upya je kuna haja ya ulazima wa kutafuta consultant aiandike au naweza kufanya mimi mwenyewe tu kwani hii kilichokuemo ndani ya memorandum na bus. Plan ndo icho icho nnachotaka (kama vile zain kwenda airtel, ni kubadilisha jina tu na ownership) ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…