Kubadilisha jina la kampuni

Kubadilisha jina la kampuni

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari zenu wakuu. Nataka kuanzisha kampuni,
niliona thread inayoeleza taratibu za kufata, lakini
mie kidogo nna maswali mawili matatu ivi.... Kuna
kampuni tayari ipo, ishasajiliwa na ina business
plan na memorandum yake. Sasa mimi nataka
kuichukua hio kampuni (ni ya mzee) nibadilishe jina niweke jina nnalotaka mimi, pia kubadilisha au
tuseme kutransfer shares zake na kuzichukua
mimi (ni private company) sasa mi nlitaka kujua,
business plan na memorandum yake itabidi
iandikwe upya mwanzo mwisho kwa jina nnalotaka
mie, au naweza kutumia izo izo bila kuandikwa upya lakini kukawa na vielelezo vyenye kuonesha
jina limebadilika na shares ownership pia
zimebadilika? Na kama iandikwe tena upya je
kuna haja ya ulazima wa kutafuta consultant
aiandike au naweza kufanya mimi mwenyewe tu
kwani hii kilichokuemo ndani ya memorandum na bus. Plan ndo icho icho nnachotaka (kama vile
zain kwenda airtel, ni kubadilisha jina tu na
ownership) ?
 
Back
Top Bottom