Kubadilisha jinsia!

Bayyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,820
Reaction score
2,915
Salute kwa wanajamvi wote! Ktk dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia kuna mambo mengi yanafanyika, mengine ya kushangaza. Kuna hili la kubadili jinsia, naomba tuwekeane sawa hasa kwa wenye kufahamu vizuri kwa faida ya wengi. Inakuwaje mwanaume kubadilishwa jinsia? Je, ataweza kubeba mimba? Vp kuhusu mabadiliko mengine ktk mwili kama ndevu, sauti, hormones n.k? Maana nimeshutushwa na tetesi za Mike Tyson kuwa kajibadilisha jinsia na kuwa mwanamke. Na pia mwanamke anaweza kubadishwa kuwa mwanaume?; vp kuhusu mabadiliko kama hormones n.k? Samahani kama hii mada ilishawahi kujadiliwa humu. Nawasilisha. Asanteni.
 
Plastic surgery yoyote inaweza kufanyika na kufanikiwa. Kama watu wanabadili sura zao k itashindwaje kutengenezwa? Kuna chuo kipo cuba na head wake ni mtoto wa raul castro hujihusisha na mambo hayo na watu wengi walishabadili jinsia zao tangu nyuma. Hii kitu alifanya kuipigania kama human rights mpaka serikali ikakubali. Huduma hii inatolewa bure kwa wacuba katika hospitali zao. Kuna vitu kama hormons hupandikizwa ili ziwe za mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…