kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 702
- 759
Wakuuuu poleni na majukum,Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi halimashauri fulani hapa nnchini.
Wakuuu Mimi nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamiii(Bachelor Degree in Adult Education and Community development).
Ndugu zangu nimeomba kubadilisha kazi kwenda idara ya maendeleo ya jamiii afisa utumishi amenijibu kozi yangu haipo kwenye miundo.
Ndugu zangu Mimi naona hajanitendea haki naomba wajuzi wa mambo mje mnishauri katika hili .
Natanguliza shukrani za zati.