Tangazo la kubadilishana kituo cha kazi natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara shule ya msingi aje Tabora (vijijini) namba 0786697943 mi nataka mtu wa kubadilishana nae kutoka wilaya ya sumbawanga(vijijini) na mkoa morogoro wilaya yoyote.