hon daniel killion
Member
- Jun 29, 2024
- 7
- 8
Kuna muongozo upo, unabana mtu kutoka nje ya career aliyo apply nayo, sina uhakika ila maafisa tawala wanajua hizi. Wana miongozoHabari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo.
1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma anataka degree🙏
2. Na mfano Serikali imekuajiri kama mtu mwenye diploma ya environment health na unataka uende ukasome diploma ya diagnostic radiology hiyo inawezekana? Na kama inawezekana itachukua miaka mingapi ndio ukasome hiyo kozi baada ya kuajiriwa mfano serikali imekuajiri 2024, je 2025 inawezekana?
1.kisheria miwili,ki taratibu,ukishathibitishwa tuHabari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo.