Fatma-Zehra
Senior Member
- Oct 18, 2020
- 192
- 1,063
Una badilisha note kwa sababu gani!? Unajua athari ya kubadilisha pesa zako kila wakati au unaandika tu upupuLet me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Una badilisha note kwa sababu gani!? Unajua athari ya kubadilisha pesa zako kila wakati au unaandika tu upupu
Hivi kwa akili yako, mtu ana weka noti ya Tanzania ndani? Hao labda waswaga ng'ombe. Watu wanao jua thamani ya hela huzibadilisha kuwa pesa mzee.. Yaani dolari.. Ndio wana weka ndani. Lbda mwambie aongee na Biden abadilishe dola[emoji133]Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Asante kwa ushauriLet me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Kama bado unaamini JPM ndio chaguo sahihi kwa vita dhidi ya ufisadi basi una kila sababu ya kuamini katika solution yako! Nikukumbushe tu huyu Rostam aliyegeuka kuwa Swahibu mkubwa wa JPM, alichokwa hadi na serikali ya kifisadi ya JK! Enzi zile hakuna ufisadi ambao Rostam hakuwahi kuhusishwa nao. Na nikukumbushe tu kwamba JPM hajawahi kumchukulia hatua kiongozi yeyote wa juu Tanzania kwa issue za ufisadi; hata akina Angengenye ambao aliwafuta kazi kwa tuhuma za ufisadi baadae aliwarudisha!Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Mkuu, uamuzi wa benki kuu katika kutaka kubadilisha ama kuchapisha noti mpya Kwa ajili ya matumizi ya nchi hufanyika kwa kutegemea mazingira maalum ya kiuchumi na mahitaji ya wakati ya sera za kifedha. Kwa hiyo wataalamu waliobobea katika masuala ya fedha na uchumi huwa ndio wanatoa mapendekezo hayo baada ya kufanya tathimini ya kina ili kukwepa kuuathiri uchumi wa nchi.Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Trying kuyumbisha mada nankupeleka watu kwingine ? nice try.. but no body gives a flying shit about kubadilisha noti. Kuna adui mmoja tu ambae dunia zima inapambana nae.Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ