Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

Sifikirii kabisa kuweka spacer kwa sababu nasikia inaweza kuwababisha gari kupoteza balans yake hivyo uwezekano wa kupata ajali ukiwa kasi ni unaongezeka...
 
Hivi kutoka 195/65/R15 na kuweka 195/7/R15 gari itainuka kwa sentimeta ngapi? Zinazidi 2cm?
 
Nataka kuongeza ground clearance ya gari (Toyota Isis) kwa kubadilisha tairi kutoka 195/65 R15 na kuweka 195/70R15 Je hiyo itasaidia? Na je inaweza kuwa na athari zozote hasi kwa mwenendo mzima wa gari?


Nafikiri hamna shida.Sijafanikiwa kupata sehemu wanayoshauri au kutoa experience ya kubadili 195/65 R15 kwenda 195/70 R15.

Hivyo nadhani hamna shida kama tu una hizo mm 19.5 za ziada.Issue inaweza ikaja kama kutakua na ukaguzi wa gari wanawezadai matairi yako sio sahihi hivyo ubadilishe(ndio maana hapo umeona hiyo 2.98% ina rangi nyekundu).Unaweza ukadadisi pia kwa magari mengine yaliyoinuliwa(kama ukiona wameweka size gn...
 
Hivi kwa Toyota Allex maximum size naweza funga ni tyre size gani?
 
mkuu mimi zangu zilikua 205/45r17 nikaweka 205/50r17 na zikawa fresh sasa balaa linakuja ukiwa speed halafu ukapita sehem yenye kimuinuko au shimo au sehem yeyote inayoweza kufanya gari idunde matairi yanakwaruza kwenye bodi...
Badili shockups, huna shockup hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…