Kubadilishana kituo cha kazi, Afisa Sheria II

Kubadilishana kituo cha kazi, Afisa Sheria II

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
110
Wadau mimi ni muajiriwa mpya katika halmashauri moja uku manyara... Nilikua natafuta mtu wa kubadilishana nae kazi ya afisa sheria ii kwenye halmashauri yoyote iliopo mwanza, shinyanga, musoma serengeti etc
 
Mkuu anahitajika Mwanasheria mahali fulani. Nipm nikupe mchongo. Pia mambo ya Kubadilishana yako kwa Walimu sio kada zinginezo Mkuu.
 
Back
Top Bottom