jonas255 JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 225 Reaction score 110 Oct 10, 2015 #1 Wadau mimi ni muajiriwa mpya katika halmashauri moja uku manyara... Nilikua natafuta mtu wa kubadilishana nae kazi ya afisa sheria ii kwenye halmashauri yoyote iliopo mwanza, shinyanga, musoma serengeti etc
Wadau mimi ni muajiriwa mpya katika halmashauri moja uku manyara... Nilikua natafuta mtu wa kubadilishana nae kazi ya afisa sheria ii kwenye halmashauri yoyote iliopo mwanza, shinyanga, musoma serengeti etc
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Oct 15, 2015 #2 Mkuu anahitajika Mwanasheria mahali fulani. Nipm nikupe mchongo. Pia mambo ya Kubadilishana yako kwa Walimu sio kada zinginezo Mkuu.
Mkuu anahitajika Mwanasheria mahali fulani. Nipm nikupe mchongo. Pia mambo ya Kubadilishana yako kwa Walimu sio kada zinginezo Mkuu.