sagaciR
JF-Expert Member
- Jun 17, 2017
- 644
- 878
Mimi ni mtumishi wa umma kada ya Afya, nafanya kazi katika mkoa wa Njombe karbi na mji wa Makambako. Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kwa yeyote aliepo kati ya mikoa hii;-
>Mwanza
>Geita
>Shinyanga (Wilaya ya Kahama)
>Kagera
>Tabora, (Wilaya ya Nzega) na
>Mara
Sababu ni kuwa karb na familia yangu.
KARIBUNI
>Mwanza
>Geita
>Shinyanga (Wilaya ya Kahama)
>Kagera
>Tabora, (Wilaya ya Nzega) na
>Mara
Sababu ni kuwa karb na familia yangu.
KARIBUNI