0752588522
Member
- Jan 19, 2014
- 36
- 1
MWL (sekondari) natafuta mwl wa kubadilishana nae aliye MBEYA JIJI au TUKUYU aje KOROGWE MJINI,pia kwa wewe MWL ambaye unaishi mikoa ya kaskazini, korogwe ni sehemu nzur sana kufanyia kaz sababu upo nyumban au karibu na nyumbani.
cont:-0752588522/0683900182
cont:-0752588522/0683900182