moto nkali
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 328
- 106
Ndugu wanajamvi,
Mwalimu spicta nurdin anayefundisha sekondari katika manispaa ya musoma anaomba mtu yoyote wa kubadilishana naye anayefundisha mkoa wa mbeya au iringa.
Natanguliza shukrani.
Ahsanteni.