irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Sep 21, 2014 #1 Mimi mwalimu kutoka wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mkoa wa Arusha,Kilimanjaro au Tanga idara ya msingi.kwa mawasiano zaidi 0753624792
Mimi mwalimu kutoka wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mkoa wa Arusha,Kilimanjaro au Tanga idara ya msingi.kwa mawasiano zaidi 0753624792