Kubadilishana kituo cha kazi

Kubadilishana kituo cha kazi

Joined
Aug 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
nipo IKWIRIRI_RUFIJI mkoa wa PWANI idara ya SEKONDARI natafuta mwalim wa kubadilishana nae kituo awe anatokea MWANZA JIJI/ KAHAMA MJI.……sehemu niliyopo usafiri ni wa uhakika,itakuchukua masaa 2 tu kuingia DAR ES SALAAM nauli ni elfu tano hadi mbagala, maji na umeme ni uhakika....km uko tayari Ni.P.M au ni cheki 0719198411/0757632037. asante
 
Back
Top Bottom