Kubadilishana kituo

Kubadilishana kituo

male john

Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
12
Reaction score
0
Mimi ni Mwalimu wa secondari nimepangwa kufundisha mkoa wa (SINGIDA-MKALAMA), nahitaji kwenda mkoa wa DAR au PWANI, hivyo kwa yeyote anayehitaji tubadilishane vituo au hata kama kuna mtu unamjua anataka kwenda Singida tafadhari anitafute kwenye 0716 860860.
 
Mimi natafuta pia mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka Tarime mji kwenda Geita, chato au sengerema. Level ya degree 0768074472
 
Back
Top Bottom