Mimi ni Mwalimu wa secondari nimepangwa kufundisha mkoa wa (SINGIDA-MKALAMA), nahitaji kwenda mkoa wa DAR au PWANI, hivyo kwa yeyote anayehitaji tubadilishane vituo au hata kama kuna mtu unamjua anataka kwenda Singida tafadhari anitafute kwenye 0716 860860.