Taylor Gang Jr
Senior Member
- Jul 2, 2013
- 131
- 7
Ni Ace model gain mkuu..??Kama vp tubadilishane nikupe galaxy Ace bila 50000
Habari wakuu...
Nilikuwa nahitaji mtu ambaye nitaweza kubadilishana nae simu..
#mm natumia Tecno Phantom A plus (A+) bado mpyaaa,nakupa na tsh 50,000 ( Elf 50)
*android version 4.2.1 jelly beam
*Ram 1Gb
*Processor 1.2Ghz
*Camera 8 Mp with LED and front camera
*internal 4Gb..expandable with SD card up to 32 Gb
##wewe unanipa simu gani?? #ni PM tuzungumze
Nashukuru mkuu....!!Ninependezwa na maelezo yako big up!
Pia ungeweka na namba za simu yako kuongeza njia za biashara yako hii!
Hamnaa PM ambayo cjaijibu mkuu...labda iwe umeituma kwa jf member mwingineUmesema watu tukupm then hujibu msg zetu,