ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
mimi nina htc magic adroid, nipe laki na nusu na hiyo simu,Nina LG GU285 niliagiza toka nairobi,ni 3g na ina mambo mengi na pia internet yake ipo fasta,ina earphone zake na chaja ni line moja isipokuwa screen yake si kubwa sana kama ninavyopenda mimi,natafafuta yoyote mwenye simu orijino yenye screen kubwa tufanye exchange,hata kama 2g,nikipata nokia x201 ntafurahi,itafute google uicheki..namba yangu ni 0755065418
Du..! bora ukajaribu kubadilishana kwenyw maduka ya simu, ila humu sidhani.. Alaf usiwe fast kutoa namba yako ya sim
ushauri tu
umeona pm yangu?sio mara yangu ya kwanza kufanya biashara ku jf,kama huna simu wala ushauli kaa kimya,ambao watapenda watanitafuta na tutamaliza, ishu
mimi nina htc magic adroid, nipe laki na nusu na hiyo simu,
umeona pm yangu?
mkuu hiyo popcorn nikupe Nikia E61i?