Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

maafisa vilimo maranyingi itakuwa hawapiti huku.

wapo bize kutoa handout kwa wakulima juu ya hali ya hewa na mazao yanayoweza kukubali kulingana na eneo husika

Na Mara nyingi wanakua mashambani ambako network ni shida
 
Kuna AF Kilimo yupo BUNDA anatafuta wa kubadilishana naye toka moro mjini au Mvomero mawasiliano yake 0752964233
 
Mimi ni afisa mifugo mkoa wa Njombe wilaya makete natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi kazi,
Nitafute 0769493096.

My priority MBEYA, ARUSHA, MANYARA, MOROGORO, IRINGA, PWANI.

NITAFUTE.
KWANN USITAFUTE MTU AMBAYE HAJAPATA AJIRA AMESOMA KADA YAKO AKUREPLACE
 
Muuguzi njoo hospitali ya mkoa wa manyara nije mko wa mwanza(magu) ilemela, Mara (butiama) Tarime
0712050508
 
From a friend.
Mimi ni Afsa kilimo II natafuta mtu wa kubadirishana kituo cha kazi yye aje wilaya ya Mleba mkoa wa Kagera, Awe kati ya mikoa ya Mwanza, Mbeya na Iringa.
babilasfikiri@gmail.com
 
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenyewe uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu.
Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga.
Piga simu Na. 0717 26 33 77
 
Mwalimu idara ya elimu msingi niko Bunda mjini nibadilishane na mtu aliyeko Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…