Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Bado sijapata mwalimu wa primary wakuja Singida DC niende Same DC.
Mwingine wakuja Mwanga K/njaro niende Singida DC(Hii ni kwa niaba).
 
Afisa afya mazingira daraja la pili.
Njoo songea Dc, nije dar es salaam, Pwani, Tanga, kilimanjaro, Morogoro au Kilimanjaro.
 
Afisa uvuvi nipo mbeya nahitaji wa kubadilishana nae awe Morogoro mjini, tanga, dar, pwani
 
Habari ndugu wananchi wa mikoa ya​

ARUSHA na KILIMANJARO...,​

Kwa mahitaji ya...,​

1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,​

2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,​

3. Fremu za biashara KWA MIJI YA MOSHI na ARUSHA ,​

4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka​

4.1 Ofisi za taasisi,​

4.2 GODOWN ,​

4.3 KARAKANA (WORKSHOP) ,​

4.4 Sehemu au Jengo la kila aina ya shughuli za kiuchumi 5.MASHAMBA Kwa ajili ya kilimo , ufugaji​

6.Viwanja kwa ajili ya makazi vipo​

kwa MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI..​

0672701329/0756294771​

​

DALALI Lexus SUV
 
Anae elewa ,, hapa naomba uhamisho halmashauri flani lakini kinacho niomba kuchagua ni mkoa tuu,, sasa nitaelewaje kama halmashauri ninayo itaka imeuona uhamisho? Au mkoa utanipeleka popote?
 
Attachments

  • Screenshot_20250503-185020.png
    146.8 KB · Views: 55
Kuhusu uhamisho wa kubadilishana ,anzisha kama nilivyo onesha katika picha ,,Ingia own exchange request kisha chagua organization kisha halmashauri unayo kwenda ,, jaza taarifa zote kisha save,, itaonekana kama ilivyo hapo no 1,
Hapo sasa watumishi wa idara yako wote walio ktk halmashaur uliyochagua wakiingia kwenye menu ya uhamisho wataliona ombi lako hapo no 2 (incoming exchange request na atakubali hapo na itawaomba kufanya attachments,

Nb: mwenye uwezo wa kusubmit ngazi ya juu ni yule aliyeanzisha mchakato
 
Attachments

  • Screenshot_20250511-144803~2.png
    91 KB · Views: 54
  • Screenshot_20250511-144617~2.png
    121.2 KB · Views: 54
Umefanikiwa..?
 
Nyie wa kilimo ni Halmashauri tu
Hakuna wa kubadilisha labda kutoka TARI kwenda NIRC..
 
Anayetaka kuja mkoa wa Lindi tubadilishane kada AFISA NYUKI II nije moro,dodoma,singida,tabora,mbeya,simiyu,Geita,mwanza,bukoba,pwani au mara tuchekiane wakuu
 
Cheki PM
 
Afisa Kilimo:
Njoo Geita DC (Jimbo la Katoro) niende Muleba..

Kwa Afisa Kilimo tu.. ni PM.
 
Dereva:
Mwajiri : wizara ya afya
Kituo: Hospitali ya mkoa ya rufaa Sokoine Lindi.
Mahali: Lindi mc
🚦Dereva mwenzangu unayetaka kuja lindi tuwasiliane inbox.
Nawasilisha
 
Bado sijapata mwalimu wa primary wakuja Singida DC niende Same DC.
Mwingine wakuja Mwanga K/njaro niende Singida DC(Hii ni kwa niaba).
KARIBU KWENYE MFUMO WA KUMPATA MTU WA KUBADILISHANA VITUO KWA URAHISI.

1. Unasajili na unaweka kituo ulichopo kwa sasa
2. unaweka mikoa na wilaya zaidi ya moja unayotaka kwenda
3. unaweka masomo yako
4. baada ya usajili kukamilika ukaingia kwenye mfumo utawaona watu wote kutoka mikoa mingine wanaofanana na wewe somo moja au yote wanaotaka kuja mkoa au wilaya uliyopo.
5. Mfumo uko vizuri sana watu wote unawaona namba za watsap na kawaida ziko pale.

β€’ Jisajili sasa kwenye mfumo wetu wa Kubadilishana πŸ‘‰ Kubadilishana Portal β€” Tafuta Mwenye Kubadilishana Nawe Tanzania

Mfumo unakuunganisha moja kwa moja na watumishi wa idara yako wanaotaka kuja mkoa wako, na unakujulisha kwa notification mtu akipatikana. Jisajili leo, baadaye utatushukuru!
 
Kada gani

Mimi Ni Mtumishi Wa Mahakama,Nipo Mkoa Wa Songwe_Tunduma,Nahitaji Mtu Wa Kubadilishana Nae Kituo Cha Kazi Awe ,Pwani,Dar es salaam,Tanga,Na Morogoro.
Namba!0715_970_172..
KARIBU KWENYE MFUMO WA KUMPATA MTU WA KUBADILISHANA VITUO KWA URAHISI.

1. Unasajili na unaweka kituo ulichopo kwa sasa
2. unaweka mikoa na wilaya zaidi ya moja unayotaka kwenda
3. unaweka masomo yako
4. baada ya usajili kukamilika ukaingia kwenye mfumo utawaona watu wote kutoka mikoa mingine wanaofanana na wewe somo moja au yote wanaotaka kuja mkoa au wilaya uliyopo.
5. Mfumo uko vizuri sana watu wote unawaona namba za watsap na kawaida ziko pale.

β€’ Jisajili sasa kwenye mfumo wetu wa Kubadilishana πŸ‘‰ Kubadilishana Portal β€” Tafuta Mwenye Kubadilishana Nawe Tanzania

Mfumo unakuunganisha moja kwa moja na watumishi wa idara yako wanaotaka kuja mkoa wako, na unakujulisha kwa notification mtu akipatikana. Jisajili leo, baadaye utatushukuru!
 
KARIBU KWENYE MFUMO WA KUMPATA MTU WA KUBADILISHANA VITUO KWA URAHISI.

1. Unasajili na unaweka kituo ulichopo kwa sasa
2. unaweka mikoa na wilaya zaidi ya moja unayotaka kwenda
3. unaweka masomo yako
4. baada ya usajili kukamilika ukaingia kwenye mfumo utawaona watu wote kutoka mikoa mingine wanaofanana na wewe somo moja au yote wanaotaka kuja mkoa au wilaya uliyopo.
5. Mfumo uko vizuri sana watu wote unawaona namba za watsap na kawaida ziko pale.

β€’ Jisajili sasa kwenye mfumo wetu wa Kubadilishana πŸ‘‰ Kubadilishana Portal β€” Tafuta Mwenye Kubadilishana Nawe Tanzania

Mfumo unakuunganisha moja kwa moja na watumishi wa idara yako wanaotaka kuja mkoa wako, na unakujulisha kwa notification mtu akipatikana. Jisajili leo, baadaye utatushukuru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…