starspoint21
Member
- Nov 18, 2017
- 33
- 12
Habari wanaJF,
Ningependa kugusia kitu kabla sijaenda kwenye swali langu.
Tukikumbuka mwaka Jana ama mwaka juzi vyuma vilipo anza kukaza watu wengi walikuwa wakilalamika pesa imepotea mtaani,
Maana si watu wa kawaida nikimaanisha raia wa kawaida wala taasisi za kifedha kuwa na kiasi kidogo cha fedha tofauti na walivyo kuwa miaka ya nyuma.
Serikali walikuja na matamko tofauti kutokana na hali hiyo.
Ila moja kati ya tamko serikali ililo kujanaloni kuwa kuna watu wanaficha fedha majumbani ama sehemu nyingine ambazo pesa hazirudi kwenye mzunguko na kufanya fedha kupotea mtaani (vyuma kukaza).
Ndipo serikali (Rais) kutishia inaweza kubadilisha fedha Mara moja na hao walio kuwa nazo wapate hasara huko waliko zificha.
Swali langu ni kuwa kuna madhara yoyote ya kiuchumi duniani yanaweza kutokea endapo marekani iki amua kubadilisha fedha zake!?
Kwasababu gani nauliza hili swali watu wengi wanaoficha fedha in terms of cash wanaficha kwa dollar (sina ushahidi) ila tunajua wanao fanya illegal things wengi hii ni moja ya njia wanayo tumia.
Nawasilisha.