Kubadilishwa kwa ratiba, kupo duniani kote

Kubadilishwa kwa ratiba, kupo duniani kote

runyaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
523
Reaction score
241
Wapenda soka wote tunailaumu TFF kupitia bodi ya ligi kwa kubadilisha ratiba ya baadhi za mechi za ligi kuu chini ya udhamini wa Vodacom.
Ukweli ni kwamba, hili ni jambo ambalo halikwepeki kwenye nchi yoyote hata zile tunazoamini zimeendelea kwenye mpira huu wa miguu (ambao tunaushabikia wengi kuliko mchezo mwingine wowote).
Mfano ni Uingereza; nchi yenye vilabu vyenye mashabiki wengi duniani, leo imetangaza kubadili ratiba ya baadhi ya mechi za octoba.

Rai yangu ni kwamba, tupunguze lawama kwa TFF kwa kubadili ratiba kwani ni jambo ambalo lipo nje ya uwezo wao.
 
Back
Top Bottom