Kubadilishwa kwa Uongozi ndani ya kikosi cha Simba

The real Daniel

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
2,117
Reaction score
7,899
Nafikiri kwa hizi mechi 2 tumethibitisha kwamba uongozi ndani ya kikosi cha Simba umebadilika
First captain: Bocco
Second captain: Chama
Third captain: Kapombe

Ingawa haijathibitishwa na Uongozi wa simba
 
Shabalala alifeli wapi?
Siku hizi ameacha kupost kupost mipicha ktk mitandao ya kijamii[emoji15]
Yaani hata hatuelewi Nini kakosea Ila itakuwa mambo hayakuwa sawa katika maeneo mengi kitu kilichofanya Simba ipoteze zile mechi 2
 
Yaani hata hatuelewi Nini kakosea Ila itakuwa mambo hayakuwa sawa katika maeneo mengi kitu kilichofanya Simba ipoteze zile mechi 2
Kiwango chake kimeshuka kidogo

Ile mikrosi yake siku hizi sijui anaipigaje?
 
Mfa maji hakosi kutapatapa ndicho wanachopitia sasa mikia na Nov 7 tunawapigilia msumari wa moto wa inch 3.
 
Ongeza hapo kuna wapishi wawili pia wamefukuzwa[emoji23][emoji23]
 
Shabalala alifeli wapi?
Siku hizi ameacha kupost kupost mipicha ktk mitandao ya kijamii[emoji15]
Hicho ndio kilimfelisha, alishindwa kuongoza timu ndani ya uwanja.
Mechi na prison pamoja na madudu ya refa aliyekuwa anatoka na kumkabili refa ni Erasto Nyoni wakati yeye alikuwa ametulia kama hamna jambo.
 
Kiujumla molari imeshuka ktk team

Hata tunapofunga goli huoni wachezaji wakishangilia kama zamani, zaman tulikuwa na uchu kwelikweli, tunaufata mpira wavuni na kuupeleka kati hivi sasa sion hiyo hali.

Kasi yetu uwanjani imepungua sio kama msimu uliopita,

Sitoshangaa msimu huu tukiukosa ubingwa.

Unaona bocco anavokosa magoli ya wazi kabisa[emoji15]

Tunapiga pasi nyingi nusu ya uwanja kurudi nyuma kitu ambacho kinapungusa kasi uwanjani,


Lile goli alilofunga Ndemla ndio style yetu sasa, pasi tatu mko golini.
 
Tatizo kocha wetu kishingo anakariri wachezaji hivyo ushindani wa namba umepungua siamini Kahata aliyekuwa kwenye fomu uwezo umepungua, Shabalala hata afanye madudu gani bado ataanza, timu ameijenga kwa kumtegemea Chama kiasi asipokuwepo hamna kitu.
Ushindi wa simba ni juhudi binafsi za wachezaji kuliko uwezo wa kocha
 
Nakubaliana na ww.
Hii timu tusitegemee makubwa msimu huu

Usajili wa mihemko Kumleta BM ambaye hadi sasa sijaona impact yoyote zaidi ya kuanguka anguka uwanjani hana stamina kabisa kupiga wenzie makonzi hadi kupata adhabu. Kahata ni muhimu kuliko BM,
 
Nyoni kaisha kabisa hata kama umri umeenda
Ajibu akipewa nafasi haitumii vile inavotakiwa
Bocco ndo huyo nafasi tano za kufunga anapata moja
Kagere + Mugalu majeraha yanawasumbua sana
 
Tuwaachie viongozi wanajua.
Kikubwa timu ifanye vizuri ,lengo letu NI moja Haina haja kurumbana yeyote Yule NI captain wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…