Kubadilishwa kwa Uongozi ndani ya kikosi cha Simba

nasemekana tshabalala na kuna wenzie walikula mlungula hapa katikati kuhujumu simba s.c, hizo habari nilizikutia mwishoni mwishoni kiongozi wa tawi fulani akihadithia watu wakawa kama hawamuamini, akampigia jamaa yake, kiongozi mkubwa simba, jamaa akakiri kidogo ila alikuwa anaingia kwenye kikao, akasema atampigia baadae.. Mie nikawaacha hapo wakijadili, hiyo nilisikia siku kadhaa kabla ya game na kagera sugar. Ndio sakata hilo limekula saana vichwa vya watu pale msimbazi, na walisema aliyebumbulua ni jonas mkude, yeye ndio aligoma kula mlungula, akasema kwa john bocco, bocco ndio kufikisha habari kwa wakubwa, uchunguzi kuanza na kukamatwa baadhi ya watu.
 
Mpira wa bongo pasua kichwa
 
Nyoni kaisha kabisa hata kama umri umeenda
Ajibu akipewa nafasi haitumii vile inavotakiwa
Bocco ndo huyo nafasi tano za kufunga anapata moja
Kagere + Mugalu majeraha yanawasumbua sana
Waliwaacha kina Deo Kanda na Shibob ambao impact yao tulikuwa tukiiona kisa kocha alikuwa anawaweka benchi, Rashid juma ni bora mara mia kuliko Ajib , nafasi ya kiungo mkabaji tulikuwa tunamtegemea Fraga leo kaumia hakuna wa kuziba pengo kwani kiwango cha Mkude kimepungua sana, Shabalala hamna kitu na ikitokea kesho tukafungwa goli makosa yataanzia kwake hajui kumark wala kuzuia
 
Hapo umenena kwanza sidhani kama yule jamaa ni kocha
 
Labda wana madai ya bonus.
Huenda kuna vitu haviendi sawa nahisi kiutawala


Senzo alikuwa akipigania sana hakhi kwa wachezaji japo naye alihitaji kuongezewa bonus.

Ila kikubwa nachoona kuna vitu haviko sawa ndo maana hyo migomo hupelekea tabia hizo.
 
Ni kweli Ila .siku hizi Simba inaendeshwa kisomi na kisasa.
Tuwaachie viongozi wafanye kazi yao .
Tusiwe Kama wale wa bwawani kocha haujulikani, kiongozi haujulikani shabiki haujulikani wote Ni washauri.
Haturumbani ndo maana hujaona lugha chafu, bali kila mmoja ametoa maelezo kulingana na kile kinachoonekana uwanjani
 
Ni kweli Ila .siku hizi Simba inaendeshwa kisomi na kisasa.
Tuwaachie viongozi wafanye kazi yao .
Tusiwe Kama wale wa bwawani kocha haujulikani, kiongozi haujulikani shabiki haujulikani wote Ni washauri.
Sawa kiongozi
 
duuh,sasa kama ni kweli bado wanampanga wa nini huyu anatakiwa kufungiwa ndani ya club tena kwa press release. upumbavu huo (ila kama ni kweli)
 
Hicho ndio kilimfelisha, alishindwa kuongoza timu ndani ya uwanja.
Mechi na prison pamoja na madudu ya refa aliyekuwa anatoka na kumkabili refa ni Erasto Nyoni wakati yeye alikuwa ametulia kama hamna jambo.
Hata siku hiyo hakuwa Captain Bali kaptain alikuwa mkude
 
Sidhani kama ni rais tshabalala kula pesa labda Manula na Kennedy hata hiyo ya bocco ni hapana maana pesa ilipelekwa sumbawanga ambapo bocco yeye alibaki dar ila infomer wa management huwa ni said ,yule jamaa anapewa mshahara mkubwa kwasababu hiyo
 
duuh,sasa kama ni kweli bado wanampanga wa nini huyu anatakiwa kufungiwa ndani ya club tena kwa press release. upumbavu huo (ila kama ni kweli)
Kwa maelezo niliyookota juu juu pale, wanadai anacheza sijui kwa kuwa hakuonesha kuiuwa simba uwanjan, ila manula lile goli la kipuuzi ndio likamdhihirisha wazwazi anahujumu timu, na walisema hawezi kucheza game zinazofata, sijui huko mbeleni..

(Nilivyosikia sikia)
 
Sidhani kama ni rais tshabalala kula pesa labda Manula na Kennedy hata hiyo ya bocco ni hapana maana pesa ilipelekwa sumbawanga ambapo bocco yeye alibaki dar ila infomer wa management huwa ni said ,yule jamaa anapewa mshahara mkubwa kwasababu hiyo
Sikusikia kennedy kutajwa, ila manula alitajwa.
 
Sidhani kama ni kweli, hio scandal sio ndogo asinge cheza tena japo niwe na akiba ya maneno
ngoja tusubiri ila kama ni kweli basi ni ufala sana kwa wachezaji wa Simba kula hela. japo sio ya kushangaa sana maana hata maofisi mabosi wanalipwa mishahara minono ila kwa rushwa wako vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…