Kubadilshana kituo cha kazi

Kubadilshana kituo cha kazi

TTT

Member
Joined
May 12, 2013
Posts
22
Reaction score
4
Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi. Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo halmashauri ya mji mpanda, nataka kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka shinyanga mjini, atakayependa kufanya kazi halmashauri ya mji mpanda. Mawasiliano:- 0784914677
 
Mwalimu wa kubadilishana kituo
cha kazi. Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo halmashauri ya mji mpanda,
nataka kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka shinyanga mjini,
atakayependa kufanya kazi halmashauri ya mji mpanda. Mawasiliano:-
0784914677

Airtel...?Unanipa mashaka na eneo ulilopo..!
 
Mkuu me ningeweza kubadilishana na wewe kama ungeandika mtandao wa tigo, lakin airtel mmmhh!! inaonesha uko ndani ndani xana.
 
Mkuu me ningeweza
kubadilishana na wewe kama ungeandika mtandao wa tigo, lakin airtel
mmmhh!! inaonesha uko ndani ndani xana.

haaa haaaa haaaaaaa
 
mimi niko tayari kubadirishana kituo,huku nilko mimi ni headmaster,vp kule itakuwaje?
 
Back
Top Bottom