Asante boss, nimenufaika na mimi kwenye hayo maelezo.I see. Utaratibu uko vipi.
1. Naamini una sale agreement aliyoandaliwa na wakili. Kama huna tafuta wakili akuandalie.
2. Wakili atakuandalia pia land form namba 29,30 na 35.
3. Tafuta Valuer akuandalie valuation report na aiaprove kwa Mthamini mkuu wa Serikali.
4. chukua nyaraka zako nenda halamashauri na utalipia 80,000 kama application fee.
5. Utakwenda na nyaraka zako (sale agreement na approved valuation report TRA ambayo watakufanyia hesabu na utapaswa kulipia capital gain 10%.
6. Utatakiwa kulipia concent ambayo ni 1% ya either thamani ya kiwanja kwa mujibu wa valuation report au sale agreement (whichever is higher).
7. Baada ya nyaraka zote kukamilika, Manispaa watawailisha ombi lako Wizara ya Ardhi napo utalipia registration fee which is 1% ya either sale or valuation report (whichever is higher).
Nyaraka hati yako itakuwa imesharudi kwa jina lako.
I think capital gain inatakiwa kulipwa na muuzajiI see. Utaratibu uko vipi.

Your are right.I think capital gain inatakiwa kulipwa na muuzaji
TRA hajali nani analipa, ali mradi apate chakeI think capital gain inatakiwa kulipwa na muuzaji