Kubadirishana na mwalimu anayetoka njombe/mkambako

Izaack

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
48
Reaction score
3
natafta mwalimu (sekondari) wa kubadirishana anayetoka wilaya ya njombe mji au makambako, aje mbeya-rungwe........
kwa mawasiliano zaidi: 0753210877 au 0712765157
 
natafta mwalimu (sekondari) wa kubadirishana anayetoka wilaya ya njombe mji au makambako, aje mbeya-rungwe........
kwa mawasiliano zaidi: 0753210877 au 0712765157
Kama unahitaji hapa Mufindi wewe sema nikupe post yangu!! unaweza ukanitumia PM kama utahiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…