Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

Labda aiseee ila kuna watu ustaarabu zero kabisa
 
chuoni mnakutana wa background tofautitofauti wa kutoka social status zote kuanzia wale wa bush kabisa ambao kule kwao alikuwa anachambia mabunzi ya mahindi au majani tu ya miembe hlf huku chuo anakutana na choo cheupe cha udongo (hessian) na unaweza kuta ndo anakiona kwa mara ya kwanza sasa na huyu asipande tu hapo juu ya choo na raba zake kweli wajameni?.
 
Kuna mzee mmoja alihama ulaya na kurudi afrika moja ya sababu NI Uhuru wa kunya vichakani huko hakuupata anasema NI starehe sana kunya porini...riwaya ya kiguu na njia Ben r.mtobwa
 
ni shida mkuu, Kuna frame nilizo pangisha, majitu Yana tumia choo Kama Yana kufa[emoji23][emoji1787]
Kuna mhaya kafungua hoteli hapa kwenye jengo nililopo akaomba akae na funguo aisee NI mwaka sijadhubutu kuingia hicho choo...uchafu mpaka mlangoni...yaani NI huzuni kwa kweli
 
Hii tabia hadi kwenye uongozi wa nchi,hakuna ustaarabu kabisa.
Uko sawa ukiangalia bunge leo utazani ni the comedy show ya wakina bamboo mtu mara aruke serkasi mwingine aimbe nyimbo mle za ajabu ajabu.Huwezi ona hayo ulaya
 
Reactions: Sax
Sio Huenda, ila ni tabia za hovyo za watu weusi

Mtu mweusi popote alipo duniani ni kero.

Ni Mchafu, Mjinga, mwenye wivu mbaya, Hawapendani wao kwa wao mpaka kuuana bure

Zaidi ni Muharibifu, anajua kuharibu tu na hajui kutengeneza, hana Ubunifu wala Uvumbuzi

Tazama USA na FRANCE mahali penye watu weusi wengi kumejaa Umasikini, Ujinga, Uchafu na Uhalifu
 
Ustaarabu ni kuuliza mkuu. Mimi kuna ndg tulienda nae kwa ndg mwingine alipoingia toillet akarudi kuniuliza kuwa chooni hajaona shimo wala sehemu ya kujisadia ilibidi nimweleweshe kila kitu fanya hivi ukimaliza chukua hizi paper(toillet paper) jisafishe halafu bonyeza hapa hadi mzigo utokomee. Alifanya vizuri tu maana maras tu ya kutoka nami nikaingia kuangalia kama kachafua tusije aibika wote. nilikuta mambo safi tu
 
Tunaujinga wa milele.Visa tunavyofanya wazungu huwa hawaamini kama kimefanywa na mtu mwenye akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…