Kubaki Kwa Jesus Moloko, Aziz KI Kutumika Zaidi Kama Namba 10.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Baada ya mabingwa wa ligikuu kutangaza kubaki na Moloko huku Yacouba Sogne na Chico Ushindi kupewa mkono wa kwaheri, ni dhahiri sasa Prof Nabi amekusudia kumtumia Stephane Aziz Ki atakuwa akitumika zaidi kama namba 10.

Nafasi ambayo alikuwa akiicheza feisal salumu mara kwa mara.

Ni dhahiri kuwa kuanzia msimu ujao patakuwa na vita kubwa sana ya eneo la kiungo.

Dr Aucho. Babu Kaju. Fei Toto pamoja na Yanick.

Hapatatosha kwakweli.

Aidha kuondoka kwa Chico Ushindi kulitazamiwa na wengi lakini pia hakuna aliyetarajia kama Yacouba Sogne angeweza kuondoka wakati huu. Taarifa zinasema Sogne alipitia majeraha ambayo yasingeweza kumuwezesha kucheza mpira consistance pasi na kurudi kwenye tiba.

Kwa kheri Yacouba, Pia tunashukuru kwa Zawadi uliyo tuachia.
 
Kwa mfumo wa mwalimu kuchezesha mabeki 3 nyuma, basi umtarajie kucheza namba 7 ya kuingia ndani. Huku Morrison naye akicheza 11 ya kuingia ndani.

Hivyo kutakua na mfumo wa 3 4 2 1

Juma Shabani na Lomalisa zitakuwa ni wing backs za kupanda na kushuka.

Beki wa kati watakuwepo Mwamnyeto/Dickson Job na Bangala, viungo ndiyo watajaa sasa Dr. Aucho/Bigirimana, Babu Kaju, na Fei Toto. Mayele kama kawaida, atakuwa anatupia tu.
 
Kuna sheria ya TFF lazima wachezaje 3 wa wazawa waanze, hiyo inaweza msaidia Feitoto kujazilisha no, hivyo itakuwa Mwamnyeto, Dickson Job, Feitoto, Sure boy. Ni hao wa nne tu ndio watakuwa wanagombea hizo nafasi 3 za wazawa za kuanza.
 
Nimekusoma.
 
Kwa mfumo wa mwalimu kuchezesha mabeki 3 nyuma, basi umtarajie kucheza namba 7 ya kuingia ndani. Huku Morrison naye akicheza 11 ya kuingia ndani.

Hivyo kutakua na mfumo wa 3 4 2 1

Juma Shabani na Lomalisa zitakuwa ni wing backs za kupanda na kushuka.

Beki wa kati watakuwepo Mwamnyeto/Dickson Job na Bangala, viungo ndiyo watajaa sasa Dr. Aucho, Babu Kaju, na Fei Toto. Mayele kama kawaida, atakuwa anatupia tu.

Hii pia imekaa sawa.
 
Kuna sheria ya TFF lazima wachezaje 3 wa wazawa waanze, hiyo inaweza msaidia Feitoto kujazilisha no, hivyo itakuwa Mwamnyeto, Dickson Job, Feitoto, Sure boy. Ni hao wa nne tu ndio watakuwa wanagombea hizo nafasi 3 za wazawa za kuanza.
Umesahau kuwa kuna kuumia, kadi, uchovu n.k
 
Baada ya mabingwa wa ligikuu kutangaza kubaki na Moloko huku Yacouba Sogne na Chico Ushindi kupewa mkono wa kwaheri, ni dhahiri sasa Prof Nabi amekusudia kumtumia Stephane Aziz Ki atakuwa akitumika zaidi kama namba 10.

Nafasi ambayo alikuwa akiicheza feisal salumu mara kwa mara.

Ni dhahiri kuwa kuanzia msimu ujao patakuwa na vita kubwa sana ya eneo la kiungo.

Dr Aucho. Babu Kaju. Fei Toto pamoja na Yanick.

Hapatatosha kwakweli.

Aidha kuondoka kwa Chico Ushindi kulitazamiwa na wengi lakini pia hakuna aliyetarajia kama Yacouba Sogne angeweza kuondoka wakati huu. Taarifa zinasema Sogne alipitia majeraha ambayo yasingeweza kumuwezesha kucheza mpira consistance pasi na kurudi kwenye tiba.

Kwa kheri Yacouba, Pia tunashukuru kwa Zawadi uliyo tuachia.
Hujui kitu yacooba abaenda kwa mkopo geita gold kwa mwaka mmoja
 
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom