Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Ila si ana app yake?? Mashambulizi yatahamia kule
 
Mange afungue account humu jf atupe ubuyu. Watu weng watajiunga na kutumia jf
 
Sijui hata huko Instagram unaingiaje!

Na sina haja ya kuingia ilhali kuna ma sugarboys kama Salary Slip wanaoingia huko na kutuletea kinachojiri huko.

I stay put in my JF.


Back home Dude


Swissme
 
Ni Mange na Sanchoka wanaonifanya niwe naingia insta.
 
Mie hata nikishtuka saa 8 za usiku naingia kwa Mange nasoma yaliyojili afu narudi kulala. Yani sasa hivi sina hata hamu ya kuweka bando mana Mange simpati.
 
Kwa upande wangu bila mange insta kwangu haina maana.SIKU mbili hizi ambazo page yake haipo najihisi mgonjwa kweli.
 
Huu uzi sicomment tena maana ulinipa ban ambayo imekua lifted leo. Inaonekana mange hatakiwi kunenewa jambo lolote baya hata kama muda mwingine anatoka nje ya mstari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…