Kubali au ukatae Magufuli angekuwepo mwendokasi mbagala ungekuwa imeshaanza

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
3,183
Reaction score
3,660
Amini usiamini Magufuli angekuwepo sahizi mabasi ya mwendokasi yangekuwa yanapishana Barbara ya mbagala mengine yanaena na mengine yanarudi

R.I.P Jembe langu
 
Lakn Uwanja wa mpra Arusha usinge jengwa
 
Kwenye serikali yake mambo niliyokuwa napinga ni matatu. Utekaji, kubambikia watu kesi na double standards.

Ukiachana na hayo jamaa alikua Mzalendo na alikua na nia ya dhati ya kutuletea maendeleo. Japo wengi wanasema ni maendeleo ya vitu sio watu ila naamini msoto ungekuwa wa muda.

Angalieni sahivi sio tu hatupati maendeleo ya vitu hata watu pia. Na kama atapewa awamu nyingine nawaambieni tumekwisha.

R.I.P Magufuli. Nakukumbuka kwa kila jema ulilofanyia Taifa hili.a
 
Siku zote mwanangu Kiranga Mtoto wa upanga ,anakuambia
Msipende uongozi wa kutegemea mtu mmoja

Ova
 
Kwenye serikali yake mambo niliyokuwa napinga ni matatu. Utekaji, kubambikia watu kesi na double standards.

Ukiachana na hayo jamaa alikua Mzalendo na alikua na nia ya dhati ya kutuletea maendeleo. Japo wengi wanasema ni maendeleo ya vitu sio watu ila naamini msoto ungekuwa wa muda.

Angalieni sahivi sio tu hatupati maendeleo ya vitu hata watu pia. Na kama atapewa awamu nyingine nawaambieni tumekwisha.

R.I.P Magufuli. Nakukumbuka kwa kila jema ulilofanyia Taifa hili.a
Hamna jambo baya kama kuua, kupora kutesa kubagua visasi. watu wasio kua na hatia, hilo lilifanya magufuri kua kiongozi mbaya kupita wote
 
Amini usiamini Magufuli angekuwepo sahizi mabasi ya mwendokasi yangekuwa yanapishana Barbara ya mbagala mengine yanaena na mengine yanarudi

R.I.P Jembe langu
Hana yule angetoa wapi? Mradi wenyewe wa WB lazima uwabembeleze.
 
Yule mzee mazuri yake yalionekana tangu akiwa hai japo kuna watu walimpinga (nabii hakubaliki nyumbani).

Hatimae yamethibitika alipofariki na pengo lake kuwa peupe.

Ni mjinga pekee ataendelea kukaza shingo kupitia hili maana hali halisi ipo wazi.
 
Back
Top Bottom