Kubali kataa,,Malecture wa UDSM, Ardhi na DIT wanashinda St Joseph

Kama kweli kuna wakufunzi wanamjibu vibaya hawamtendei haki huyu kijana, mbona wanafunzi darasani mara nyingi wanauliza utumbo na mnawajibu wanaelewa na kuridhika??
Aeleweshwe huyu hivi hajui hadi walimu wa primary siku hizi wana piga part time?
 
ukiongelea udsm na aru
unaongelea bendera ya tanzania ndani na nje ya tanzania katika elimu ya juu.
 
dogo university sio primary school those are lecturers. ukienda mandela arusha au kule statistics changanyikeni karibia 90% ya wakufunzi wanatoka vyuo vya nje s.africa, usa, europe na australia. wake up umeishaingia chuo kikuu japo cha kata.
 
Kwa utafiti niliofanya nimegundua private university zitakuwa juu,kwa sababu zinawalipa waalimu vizuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…