Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
bombu hili suala halina uvumilivu bhana,ndo maana wanawake mkiletewa watoto tuliozaa nje hamuwez kuvumilia na unakuta mtoto katoka kama photocopy hata kukataa unashindwa kuweni waaminifu katika ndoa ukishindwa tumia condoms kujilinda na magonjwa na hao watoto,nawasilishaheheheee, na je siku ukigundua kuwa watoto wote si wako na daktari akakuambia kuwa huna uwezo wa kumimbisha, sio wewe utakaekuwa wa kwanza kumwambia mkeo akufichie siri? Lol! wanaume kuweni wavumilivu banaaa
Mambo ni vipi? mara nyingi imekuwa kawaida kwa wasichana kuwabambikizia mzigo usio wao wanaume,je huwa wanania nzuri? kama wewe ukigundua kati ya watoto 6 ulionao watatu siyo wako utachukua maamuzi gani?
Mambo ni vipi? mara nyingi imekuwa kawaida kwa wasichana kuwabambikizia mzigo usio wao wanaume,je huwa wanania nzuri? kama wewe ukigundua kati ya watoto 6 ulionao watatu siyo wako utachukua maamuzi gani?
Nachukua wangu wa 3 hao wa 3 namwachia mama atafute baba wa hao watoto na ninamtimua nyumbani na hao watoto wa kambo
Na vipi halafu wewe ukigundua kuwa baba uliyekuwa unamwita baba siyo baba yako?
Labda tuwaombe wadada wawe na huruma jamani, wasitubebeshe mizigo isiyo tuhusu!
Nenda kwa mkemia mkuu ukasome takwimu.Kila watoto watano mmoja paternity yake sivyo ndivyo.Mambo ya kawaida sana haya Mkuu,ndo maana wahaya wanasema siku mama yako akifariki shukuru maana dhahama ya kuambiwa 'bishanga sio baba yako' inakuwa haiwezekani tena.
Halafu ukiacha ndio inakuwaje? Kwahiyo adhabu ya kudo ndio kupandikiziwa mtoto asiyekuwa wako?Hivi kweli mtu hujawahi kumdo anaweza kukubambikizia mtoto!? Acha kudo uone kama kuna mtu atakubambikizia mimba..
One day more, JF can never be a bored place!Je polisi kuwapiga raia na kuwaua ni haki? ------ Kipima Joto ITV....... very creative.............
Mimi nachukua watoto wote 6 halafu natimua mama yao!Mambo ni vipi? mara nyingi imekuwa kawaida kwa wasichana kuwabambikizia mzigo usio wao wanaume,je huwa wanania nzuri? kama wewe ukigundua kati ya watoto 6 ulionao watatu siyo wako utachukua maamuzi gani?
Kama mkewe anajua,asipojua hatamwambia!!!!!ha...haa...haaaa...!!!!heheheee, na je siku ukigundua kuwa watoto wote si wako na daktari akakuambia kuwa huna uwezo wa kumimbisha, sio wewe utakaekuwa wa kwanza kumwambia mkeo akufichie siri? Lol! wanaume kuweni wavumilivu banaaa
Kama mkewe anajua,asipojua hatamwambia!!!!!ha...haa...haaaa...!!!!