Aisee UKIMWI kwisha Tanzania tusahau
Mh! Hapa ndo unajifunza tofauti ya fikra kati ya mwanaume na mwanamkeKiukweli mwanamme akinifanyia hivyo namuona kama Choko flani hivi,
Kiukweli mwanamme akinifanyia hivyo namuona kama Choko flani hivi,
yalaaaaaaaaaaaaaa 😛ound:
kumbe kuna vi-organisms kwenye ejaculation, tena kuna multi-organisms :nono::nono:
aisee.... :nono: :nono::nono::A S confused:
Nilikua nafanya mchezo kama huo wakukojolea nje na shemeji yenu kukwepa sababu kama zako ila kuna cku yeye alikua hajafka bwana ile mimi nashusha mzigo nichomoe wacha akikamate kiuno mbona zilibaki humo humo na mpaka natiririka hapa mtoto ana miez mi4 saizi ka baby girl copy na master
Mkuu kubaba bana hilo bichwa kitu kinaweza ku-burst one day....
Hongera yako bana kwa kuweza kubana hiyo kitu isitoke wakati imeshajiachia huko ndani,mi siwezi kabisa,hebu ni pm unipe hako kautaalamu unafanyaje,mie huwa naonaga bora niache tu mpaka zile siku nzuri ndio nafanya.
Kiukweli mwanamme akinifanyia hivyo namuona kama Choko flani hivi,
yalaaaaaaaaaaaaaa 😛ound:
kumbe kuna vi-organisms kwenye ejaculation, tena kuna multi-organisms :nono::nono:
aisee.... :nono: :nono::nono::A S confused:
zaeni muongezeke acheni kuua kwa makusudi.
kwan hlo neno liko applicable mpaka leo?
hatujakataa kuzaa bt kuzaa kwa mpango ndio inshu
zaeni muongezeke acheni kuua kwa makusudi.
umeshazaa wangapi na wewe?? au ndio walewale tu wa VI-ORGANISMS
Timing ninao wawili mpaka sasa hivi. Napumzika kidogo Mungu akipenda niongeze wengine 2,tuanze kula raha za duniani.