naija-lojja
Senior Member
- May 13, 2017
- 163
- 64
Ni ndefu mikono yote miwili kaaah dada , mikucha mirefu huwa niucha hata kama unaitia nakshi gani, sasa ukiingia maliwatoni inakuwaje ? Hebu tujuzeMm napenda kucha refu sio za kubandika nazitia hina zinapendeza tuuu
Umesomeka mkuuNi bora ukiwaona uwaulize mkuu.
Mmh kma mtu anaweza kukaa saa zima saloon anabandika jee unadhan ataweza kubandua aende kwanza maliwato and then arudishe io haiopo mkuuKwa sababu ni za kubandika na kubandua, labda akishkwa haja kubwa anabandua, akimaliza kujisaidia anabandika tena!
Hahahahaa ni shida ujue ni vitu tunaishi navyo kwenye jamiii ila ni changamoto kweliii kweli mkuuDoooh waulize tu kwa kweli ukikutana nao maana na me nimejiuliza nikakosa jibu..
Umeonae imagine ni mwanaume umeoa mwanamke dizain iyo hawezi hata kukufulia boxer duuh ni changamoto!!!Wengi wao awajisafishi vizuri wanatoka na uchafu unabaki kwenye kucha zile kucha zimebandikwa na gundi kwahiyo siyo za kutoa na kurudishia uchafu upo kwa 99%
Ingekua vizur aje mhusika yeyote afafanue au unasemaje mkuuNi ndefu mikono yote miwili kaaah dada , mikucha mirefu huwa niucha hata kama unaitia nakshi gani, sasa ukiingia maliwatoni inakuwaje ? Hebu tujuze
Sio reeeeefuuuuu za kunikera mm au mtu mwengine na halafu nazishuhulikia hazikai uchafu na hata nikienda haja hazinikeri pia nikitoka msalani najisafisha.....Ni ndefu mikono yote miwili kaaah dada , mikucha mirefu huwa niucha hata kama unaitia nakshi gani, sasa ukiingia maliwatoni inakuwaje ? Hebu tujuze
Ok kama ni ivo poa yaan, kwa jinsi ulivyozifia daah nimetamani nizione yaanSio reeeeefuuuuu za kunikera mm au mtu mwengine na halafu nazishuhulikia hazikai uchafu na hata nikienda haja hazinikeri pia nikitoka msalani najisafisha.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa sababu ni za kubandika na kubandua, labda akishkwa haja kubwa anabandua, akimaliza kujisaidia anabandika tena!