Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Kwanini watu wengi wakianza kulewa huanza kubandua makaratasi ya chupa ya bia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe noma au ulevi ndio noma?'Today 10:08 PM'Inaelekea upo bar unamchora tu jirani yako, dhumuni ni kama vinywaji vinafanana basi ni rahisi kutofautisha ila kumbuka "Pombe Noooma!"
same applies to women when r seducedKwanini watu wengi wakianza kulewa huanza kubandua makaratasi ya chupa ya bia?
Wanapunguza ukali wa pombe,cause alcohol volume imeandikwa kwenye hivyo vikaratasi,hivyo wakivitoa na kilevi kinaondoka,ingeandikwa kwenye kinywaji nadhani wangekuwa wanamwaga!!!!
hii kibokoWanapunguza ukali wa pombe,cause alcohol volume imeandikwa kwenye hivyo vikaratasi,hivyo wakivitoa na kilevi kinaondoka,ingeandikwa kwenye kinywaji nadhani wangekuwa wanamwaga!!!!