Miss Pirate
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 305
- 75
..akisha maliza kubandua karatasi, atamimina kinywaji chake kwenye glasi-hapo atajaza mpaka imwagike ndo atashtuka kuwa imejaa!
dah!! Hii kali zaidi..Jamani katika maisha ukiwa unafuatilia vitu vidogo vidogo...unaweza cheka cheka mwenyewe kama chizi.Achiliambali kubandua makaratasi ...kuna mijitu mingine ikiwa ina kojoa ina jamba jamba bila kujali kama chooni kuna watu wengine....taabu kweli kweli.
Jamani katika maisha ukiwa unafuatilia vitu vidogo vidogo...unaweza cheka cheka mwenyewe kama chizi.
Achiliambali kubandua makaratasi ...kuna mijitu mingine ikiwa ina kojoa ina jamba jamba bila kujali kama chooni kuna watu wengine....taabu kweli kweli.
Naona umeamua kufukua kaburiMazoea tu na mimi najikutaga nabandua tu hata kama sijalewa
Huo ni uongo chupa ukiingalia kama ni mnywaji unaijua tu aina ya biaKuna siku nilimuuliza chali mmoja logic ya kubandua label akanijuza kuwa inamprotect mtu kumpa ofa pasipo kupenda maana baa kuna mchezo mtu anakuona unakunywa bia fulani anamwambia mhudumu peleka pale tusker mbili kisa ameona label. Sasa ukibandua hajui ni kinywaji gani unatumia, sasa sijui kama inaukweli?
Huiona kama demu aliye vaa nguo so mlevi huona kama anataka kuibanduaKwanini watu wengi wakianza kulewa huanza kubandua makaratasi ya chupa ya bia?
Hahaha yap yapNaona umeamua kufukua kaburi